top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
Dkt. Benjamin L, MD
9 Oktoba 2021 08:13:41
Kama chanjo ya Corona imepatikana kwanini dawa yake haijapatikana?
Magonjwa mengi yanayosababishwa na virusi hayana dawa zinazoweza kuviua virusi husika. Tiba ya uhakika dhidi ya virusi ni kinga imara ya mwili wako. Ndio maana wanasayansi hupendelea kutengenza chanjo ili uimarisha kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mablimbali.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
9 Oktoba 2021 09:16:21
Rejea za mada hii
https://www.who.int/emergencies/diseases/novel-coronavirus-2019/question-and-answers-hub. Imechukuliwa 09.10/2021
bottom of page