top of page
Image-empty-state.png

Dkt. Sospeter Mangwella/MD

Medical doctor (General)

Ni daktari mzoefu kutibu magonjwa kwenye idara ya kinamama na upasuaji na watoto kitengo cha wagonjwa wa kisukari haswa kwenye mambo ya elimu na ushauri wa tiba na chakula kwa wagonjwa hao.

Dkt Sospeter pia amejikita kutoa huduma za Tiba majumbani kwa kutumia programu maalumu ya ULY CLINIC Home based care na ULY Mobile clinic kwenye mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Tanga siku za Jumamosi na Jumapili. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana naye kwa email au kupiga namba za simu chini ya tovuti hii.

Omba tiba kwa daktari huyu kupitia application ya ULY CLINIC kwa kubonyeza neno lililoandikwa "Pakua app ya uly clinic"

bottom of page