top of page

Madaktari wanaofanya kazi nasi

Angalia Timu ya madaktari wanaofanya kazi na ULY Clinic kisha unawez akuchagua daktari kulingana na shida yako mkoa katika mkoa uliopo. Madaktari wote wamesomea na wamesajiliwa kufanya kazi na Balaza la MCT Tanzania

Image-empty-state.png

Dkt. Charles Wambura Nyaitara /MD

Medical doctor II (General)

Dkt. Charles Wambura Nyaitara ni daktari wa kutibu magonjwa ya binadamu, anafanya kazi Hospitali ya Kilolo Iringa na ULY CLINIC

Image-empty-state.png

Dkt. Peter Allute/MD

Medical Doctor (General)

Dkt. Peter Allute ni daktari wa magonjwa ya binadamu anayefanya kazi Mkoa wa Kagera, Bukoba katika hospitali ya Aghakan lakini pia anafanya kazi na ULY CLINIC.

Image-empty-state.png

Dkt. Sospeter Mangwella/MD

Medical doctor (General)

Dkt Sospeter Benjamin Mangwella ni daktari wa binadamu anayefanya kazi CEDHA na ULY CLINIC

bottom of page