top of page

Dalili na viashiria vya magonjwa mbalimbali

ULY Clinic inakushauri kufuata ushauri wa daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma makala. Bofya picha au neno soma zaidi ili kuingia kwenye makala kwa undani.

Jipu tundu la uke

Jipu tundu la uke

Uvimbe wa batholini katika makala hii pia unamaanisha jipu kwenye maeneo ya uke karibu na tundu la uke au tundu la uzazi

Jipu

Jipu

Jipu ni kijifuko kilichojazwa na usaha. Huweza kutokea sehemu yoyote ile ya mwili, mahali ambapo pamepata maambukizi ya , haswa chini ya ngozi ama kwenye misuli ya mwili.

Ulimi ulioshikwa

Ulimi ulioshikwa

Ulimi kushikwa ni hali inayotambuliwa wakati mtotot anazaliwa, hali hii hupelekea ulimi wa mtoto kukosa uhuru wa miendo inayotakiwa kama binadamu wa kawaida.

Kung'ata ulimi usingizini

Kung'ata ulimi usingizini

Kujing’ata ulimi wakati umelala huweza kutokea kwa mtu mwenye umri wowote ule, hata hivyo tafiti zinaonyesha, tatizo hutokea kwa watoto zaidi ukilinganisha na watu wazima.

Kujing’ata ulimi

Kujing’ata ulimi

Kujing’ata ulimi ni jambo ambalo si geni, hutokea karibia kwa watu wengi na huwa ni kwa bahati mbaya.

bottom of page