top of page

Elimu ya magonjwa kwa mjamzito

Sehemu hii utajifunza maelezo ya ziada kuhusu matatizo mbalimbali ya kiafya wakati wa ujauzito. Unashauriwa siku zote kuwasilaina na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile iliyoandikwa humu ili kupata ushauri unaoendana na hali yako ya kiafya.

Wiki ya 16 ya ujauzito

Wiki ya 16 ya ujauzito

Katika wiki hii mtoto huwa na umbo lenye ukubwa wa limao au parachichi dogo na huwa mwanzo wa ukuaji na kuongezeka kwa uzito wake.

Mate mengi wakati wa ujauzito

Mate mengi wakati wa ujauzito

Hutokea kwa baadhi ya wanawake, clonidine ni dawa yenye ufanisi mkubwa wa kuzuia dalili hii licha ya wataalamu kushauri matumizi ya njia zingine kama kumung'unya barafu, kula mlo mdogo mara kwa mara n.k

Wiki ya 15 ya ujauzito

Wiki ya 15 ya ujauzito

Katika kipindi hiki, mtoto huanza kunyonya kidole gumba, na masikio yake huwa yamekamilika na kiasi cha kuanza kusikia sauti kutoka katika mazingira na ndani ya tumbo la mama.

Wiki ya 14 ya ujauzito

Wiki ya 14 ya ujauzito

Katika kiupindi hiki, jinsia ya mtoto inaweza kuonekana katika kipimo cha ultrasound kama kitafanywa na mtaalamu mwenye uzoefu mkubwa.

Wiki ya 13 ya ujauzito

Wiki ya 13 ya ujauzito

Ni wiki inayoashiria kuisha kwa kipindi cha kwa cha ujauzi (mwezi wa kwanza mpaka watu) na mwanzo wa kipindi cha pili cha ujauzito (mwezi wa tano mpaka wa sita)

bottom of page