Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, MD
Dkt. Sospeter B, MD
Jumatatu, 21 Machi 2022
Bokichoyi
Tumbo lake ni tofauti kidogo na kabegi za kawaida kwani yenyewe haina kichwa bali imetengenezwa kwa mkusanyiko wa majani yake marefu yanakutanika kwa chini kutengeneza duara ndogo.
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Bokichoyi
Madini
Sukari
Nyuzilishe
Protini
Vitamini
Kabohaidreti
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Bokichoyi
Chenza lina kemikali muhimu inayoitwa Hesperidin na narirutin
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Bokichoyi yenye gramu 100
Nishati = 14kcal
Kabohaidreti = 2.9g
Sukari = 1.4g
Mafuta = 0.2g
Nyuzilishe = 1.4g
Protini = 1.4g
Maji = 95.3g
Vitamini zinazopatikana kwenye Bokichoyi yenye gramu 100
Vitamini A = 243mcg
Vitamini B1 = 0.04mg
Vitamini B2 =0.07mg
Vitamini B3 = 0.5mg
Vitamini B5 = 0.09mg
Vitamini B6 = 0.19mg
Vitamini B9 = 66mcg
Vitamini C =42.9mg
Vitamini K = 46mcg
Madini yanayopatikana kwenye Bokichoyi yenye gramu 100
Kalishiamu = 114mg
Madini Chuma = 1.03mg
Sodiamu = 64mg
Magineziamu = 19mg
Manganaizi = 0.16mg
Potashiamu = 252mg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Bokichoyi
Huimarisha na kusaidia utendaji kazi wa mfumo wa mmeng`enyo wa chakula
Huzuia aina mbalimbali za kansa
Huzuia ugonjwa wa rovu kwa kuweka msawazo wa homoni ya thairodi
Huimarisha mifupa
Huimarisha utendaji kazi wa moyo Pamoja na kuzuia magonjwa yanayoushambulia moyo
Husaidia kupunguza uzito
Husaidia kuongea hamu ya kula
Imeboreshwa,
21 Machi 2022 15:49:53
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Coast_asia. https://www.nutritionvalue.org/Coast_asia%2C_shanghai_bok_choy_by_Coast_Produce_Company_577448_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa tarehe 19 January 2022.
Joshipura KJ, Hu FB, Manson JE, et al. The effect of fruit and vegetable intake on risk for coronary heart disease. Ann Intern Med 2001;134:1106–14. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC3127519/. Imechukuliwa tarehe 19 January 2022.
Naseri E, Xiangyu K, Hu C, Ayaz A, Rahmani MM, Nasim M, Hamdard E, Zahir A, Zhou Q, Wang J, Hou X. Bok-choy promotes growth performance, lipid metabolism and related gene expression in Syrian golden hamsters fed with a high-fat diet. Food Funct. 2020 Mar 26;11(3):2693-2703. doi: 10.1039/c9fo02975c. PMID: 32182310. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/32182310/. Imechukuliwa tarehe 19 January 2022