Shinikizo la damu

Shinikizo la juu la damu na kazi: Mwongozo kamili
Je, kazi yako inaweza kupandisha shinikizo la damu bila wewe kujua? Makala hii inafichua kazi salama, kazi hatari, na mbinu rahisi za kujilinda kazini. Ikiwa una presha ya kupanda, hapa ndipo utajua ni kazi gani inakusaidia kuishi bila msongo… na ipi inaweza kuathiri afya yako kimya kimya.

Mlo wa kushusha shinikizo la damu bila kutumia dawa
Mlo wa kushusha shinikizo la damu bila kutumia dawa ni mlo ambao umeonekana endapo utatumika ipasavyo utashusha shinikizo la damu bila mgonjwa kuwa na haja ya kuendelea kutumia dawa za kushusha shinikizo la damu. Mlo ulioandikw ahapa unatokana na mpangilio wa mlo wa MSL huu ni mlo maalumu kwa ajili ya kujiikinga na kuonda shinikizo la damu.

Malengo ya kushusha shinikizo la damu la juu
Unapokuwa unatibiwa au kutibu mgonjwa mwenye shinikizo la damu, ni vema ukafahamu ni malengo gani unatakiwa kufikia na kwa kipindi gani. Maoni ya malengo ya kushusha shinikizo la damu la juu kwa kutumia dawa yaliyoandikwa hapa yanatokana na tafiti mbalimbali zilizofanywa.


