Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, C.O
Dkt. Sospeter M, M.D
Jumamosi, 22 Januari 2022

Cherimoya
Viinirishe vinavyopatikana kwenye tunda Cherimoya
Mafuta
Kabohaidreti
Nyuzilishe
Protini
Sukari
Madini
Vitamini
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Cherimoya
Tunda la Cherimoya lina kemikali muhimu ziitwazo Asimicin na Bullatacinare.
Viinirishe vinavyopatikana kwenye Cherimoya
Nishati = 75kcl
Jumla ya mafuta = 0.2g
Kabohaidreti = 18mg
Sukari = 13g
Nyuzilishe = 3g
Protini = 1.6g
Maji = 79.4g
Madini yanayopatikana kwenye Tunda la Cherimoya lenye Gramu 100
Madini chuma = 0.27mg
Kalishiamu = 10mg
Manganaizi = 0.093mg
Magineziamu = 17mg
Fosifolasi = 26mg
Potashiamu = 287mg
Sodiamu = 7mg
Kopa = 0.07mg
Vitamini zinazopatikana kwenye Tunda la Cherimoya lenye gramu 100
Vitamini B1 = 0.101mg
Vitamini B2 = 0.131mg
Vitamini B3 = 0.644mg
Vitamini B5 = 0.345mg
Vitamini B6 =0.257mg
Vitamini B9 = 23mcg
Vitamini C = 12.6mg
Vitamini E = 0.27mg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa tunda la Cherimoya
Kuimarisha kinga ya mwili
Kuzuia kansa za aina mbalimbali.
Kubalansi mfumo wa maji maji mwilini
Kuzuia ugonjwa Wa maralia pamoja na minyoo ya tumboni
Kuimarisha Afya ya ubongo na kuongeza uwezo Wa kufikiri
Kuimarisha moyo, mishipa ya damu pamoja na kuzuia shinikizo la juu LA Damu
Kuimarisha mfumo Wa mmeng'enyo Wa chakula.
Imeboreshwa,
22 Januari 2022, 17:18:32
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Nutritional value cherimoya. https://www.nutritionvalue.org/Cherimoya%2C_raw_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa tarehe 20 December 2021.
Macuer-Guzmán J, Bernal G, Jamett-Díaz F, Ramírez-Rivera S, Ibáñez C. Selective and Apoptotic Action of Ethanol Extract of Annona cherimola Seeds against Human Stomach Gastric Adenocarcinoma Cell Line AGS. Plant Foods Hum Nutr. 2019 Sep;74(3):322-327. doi: 10.1007/s11130-019-00742-w. PMID: 31154569.
Mannino G., Gentile C., Porcu A., Agliassa C., CaraDonna F., Bertea C.M. Chemical Profile and Biological Activity of Cherimoya (Annona cherimola Mill.) and Atemoya (Annona atemoya) Leaves. Molecules. 2020;25:2612. doi: 10.3390/molecules25112612.