Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, MD
Dkt. Mangwella S, MD
Jumatatu, 21 Machi 2022
Dengu
Dengu ni zao la nafaka linapotaikana kwenye familia ya Fabaceae. Dengu ni zao lenye protini kwa wingi hivyo kulifanya liwe na faida lukuki kwa ukuaji wa miili yetu
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Dengu
Mafuta
Madini
Sukari
Nyuzilishe
Protini
Vitamini
Kabohaidreti
Maji
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Dengu
Kemikali muhimu zinazopatikana kwenye dengu ni Phytic acid na Sterols
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Dengu zenye gramu 100
Nishati = 378kcal
Mafuta = 0.6g
Maji = 7.68g
Kabohaidreti = 63g
Sukari = 11g
Nyuzilishe = 12g
Protini = 20g
Vitamini zinazopatikana kwenye Dengu zenye gramu 100
Vitamini A = 3mcg
Vitamini B1 = 0.477mg
Vitamini B2 = 0.212mg
Vitamini B3 = 1.541mg
Viatmini B5 = 1.588mg
Vitamini B6 = 0.535mg
Vitamini B9 = 557mcg
Vitamini C = 4mg
Vitamini E =0.82mg
Vitamini K = 9mg
Madini yanayopatikana kwenye Dengu zenye gramu 100
Kalishiamu = 57mg
Kopa = 0.66mg
Madini Chuma = 4.31mg
Magineziamu = 79mg
Manganaizi = 21.306mg
Fosifolasi = 252mg
Potashiamu = 718mg
Sodiamu = 24mg
Zinki = 2.76mg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Dengu
Huongeza hamu ya kula
Huimarisha kinga ya mwili Kupunguza uzito usiotakiwa mwilini
Huzuia tatizo la upungufu wa Damu
Huimarisha mifupa
Huweka msawazo wa sukari mwilini na kuoiunguza athari za kupatwa na ugonjwa wa kisukari
Husaidia mfumlo wa mmeng`enyo wa chakula na kulainisha choo
Huzuia aina mbalimbali za kansa, kuimarisha utendaji kazi wa moyo na kuzuia shinikizo la juu la Damu
Huimarisha utendaji kazi wa ubongo na kuongeza uwezo wa kufikiri Pamoja na kutunza kumbukumbu
Huimarisha afya ya uzazi kwa wanaume
Huimarisha na kuboresha afya moyo
Hupunguza uzito
Huimarisha na kuboresha mishipa ya damu hivyo kukinga mwili dhidi ya shinikizo la juu la damu
Huimarisha afya ya macho na kuongeza uwezo wa macho kwenye kuona
Imeboreshwa,
21 Machi 2022, 16:03:25
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Chickpeas . https://www.nutritionvalue.org/Chickpeas_%28garbanzo_beans%2C_bengal_gram%29%2C_raw%2C_mature_seeds_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa tarehe 17 January 2022.
Rachwa-Rosiak D, Nebesny E, Budryn G. Chickpeas—composition, nutritional value, health benefits, application to bread and snacks: a review. Crit Rev Food Sci Nutr. 2015;55(8):1137-45. doi: 10.1080/10408398.2012.687418. PMID: 24915347. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/24915347/. Imechukuliwa tarehe 17 January 2022.
Nestel P., Cehun M., Chronopoulos A. Effects of long-term consumption and single meals of chickpea on plasma glucose, insulin, and triacylglycerol concentrations. Am. J. Clin. Nutr. 2004;79:390–395. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC5188421/. Imechukuliwa tarehe 17 January 2022.