Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, C.O
Dkt. Sospeter M, M.D
Jumamosi, 22 Januari 2022
Fenesi
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Fenesi
Mafuta
Kabohaidreti
Nyuzilishe
Protini
Sukari
Madini
Vitamini
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Fenesi
Fenesi Lima kemikali muhimu ziitwazo phenolics na flavonoids.
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Fenesi
Nishati = 95kcl
Jumla ya mafuta = 0.64g
Kabohaidreti = 23.25mg
Sukari = 19.08g
Nyuzilishe = 1.5g
Protini = 1.72g
Maji = 73.5g
Madini yanayopatikana kwenye Fenesi lenye Gramu 100
Madini chuma = 0.23mg
Kalishiamu = 24mg
Magineziamu = 29mg
Fosiforasi = 21mg
Potashiamu = 448mg
Sodiamu = 2mg
Zinki = 0.13mg
Vitamini zinazopatikana kwenye gramu 100 ya Fenesi
Vitamin A = 5mcg
Vitamini B1 = 0.105mg
Vitamini B2 = 0.055mg
Vitamini B3 = 0.92mg
Vitamini B5 = 0.235mg
Vitamini B6 =0.329mg
Vitamini B9 = 24mcg
Vitamini C = 13.8mg
Vitamini E = 0.34mg
Faida za kiafya za Fenesi
Kurekekebisha kiwango cha sukari mwilini.
Kuukinga mwili dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza mfano kisukari,shinikizo la juu la Damu.
Kuimarisha kinga ya mwili
Kuzuia magonjwa ya ngozi
Kuimarisha afya ya moyo.
Imeboreshwa,
28 Januari 2022 18:57:34
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Jackfruit nutritional values. https://www.nutritionvalue.org/Jackfruit%2C_raw_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa 4/12/2021
Durazzo A., Lisciani S., Camilli E., Gabrielli P., Marconi S., Gambelli L., Marietta L. Nutritional composition and antioxidant properties of traditional Italian dishes. Food Chem. 2017;218:70–77. doi: 10.1016/j.foodchem.2016.08.120.
Trindade MB, Lopes JL, Soares-Costa A, Monteiro-Moreira AC, Moreira RA, Oliva ML, Beltramini LM. Structural characterization of novel chitin-binding lectins from the genus Artocarpus and their antifungal activity. Biochim Biophys Acta. 2006 Jan;1764(1):146-52. doi: 10.1016/j.bbapap.2005.09.011. Epub 2005 Oct 11. PMID: 16257591.