Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, CO
Dkt. Benjamin L, MD
Ijumaa, 28 Januari 2022
Nanasi
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Nanasi
Mafuta
Kabohaidreti
Nyuzilishe
Protini
Sukari
Madini
Vitamini
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Nanasi
Nanaasi lina kemikali muhimu ziitwazo phosphatase na peroxidase
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Nanasi
Nishati = 50kcl
Jumla ya mafuta = 0.1g
Sukari = 9.9g
Kabohaidreti = 13g
Nyuzilishe = 1.4g
Protini = 0.5g
Maji = 86g
Madini yanayopatikana kwenye Nanasi lenye Gramu 100
Madini chuma = 0.29mg
Kalishiamu = 13mg
Magineziamu = 12mg
Fosifolasi = 8mg
Manganaizi = 0.927mg
Potashiamu = 109mg
Sodiamu = 1mg
Zinki = 0.12mg
Vitamini zinazopatikana kwenye Nanasi lenye gramu 100
Vitamin A = 3mcg
Vitamini B1 = 0.079mg
Vitamini B2 = 0.032mg
Vitamini B3 = 0.500mg
Vitamini B5 = 0.213mg
Vitamini B6 =0.112mg
Vitamini B9 = 18mcg
Vitamini C = 47.8mg
Vitamini E = 0.02mg
Vitamini K = 0.7mcg
Faida ulaji wa Nanasi
Huimarisha kinga ya mwili na kurahisisha ufyonzwaji wa madini chuma mwilini.
Husaidia kuimarisha ukuaji hasa kwa watoto wadogo
Hutibu kikohozi na mafua yatokanayo na mzio
Huzuia kupatwa na kichomi cha moyo.
Huimarisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula
Hupunguza kasi ya kupatwa na ugonjwa wa kansa.
Husaidia kupunguza athari zitokanazo na ugonjwa wa baridi yabisi.
Husaidia kulainisha viungo hasa hasa kwa watu wanaofanya mazoezi ya viungo.
Imeboreshwa,
28 Januari 2022 11:49:59
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Pineapple nutritional value. https://www.nutritionvalue.org/Pineapple%2C_all_varieties%2C_raw_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa10 December 2021
Chobotova K, Vernallis AB, Majid FA. Bromelain's activity and potential as an anti-cancer agent: Current evidence and perspectives. Cancer Lett. 2010 Apr 28;290(2):148-56. doi: 10.1016/j.canlet.2009.08.001. Epub 2009 Aug 22. PMID: 19700238. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/19700238/. Imechukuliwa 10.12. 2021.
Wu SY, Hu W, Zhang B, Liu S, Wang JM, Wang AM. Bromelain ameliorates the wound microenvironment and improves the healing of firearm wounds. Journal of Surgical Research. 2012;176:503–509. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC3529416/. Imechukuliwa 10.12. 2021.
Tochi BN, Wang Z, Xu SY, Zhang W. Therapeutic application of pineapple protease (Bromelain): a review. Pakistan Journal of Nutrition. 2008;7(4):513–520. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC3529416/. Imechukuliwa 10.12.2021.