Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, CO
Dkt. Benjamin L, MD
Ijumaa, 28 Januari 2022
Pasheni
Viinilishe vinavyopatikana kwenye tunda la Pasheni
Mafuta
Kabohaidreti
Nyuzilishe
Protini
Sukari
Madini
Vitamini
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Pasheni
Tunda la Pasheni lina kemikali muhimu inayoitwa Prunasin na Cyanogenic glycoside
Viinilishe vinavyopatikana kwenye tunda la Pasheni
Nishati = 97kcl
Jumla ya mafuta = 0.7g
Sukari = 11.2g
Nyuzilishe = 10.4g
Protini = 2.2g
Kabohadreti =22.4g
Maji = 72.9g
Madini yanayopatikana kwenye Tunda la Pasheni lenye Gramu 100
Madini chuma = 1.6mg
Kalisiamu = 12mg
Fosiforasi = 68mg
Magineziamu = 29mg
Potasiamu = 348mg
Sodiamu = 28mg
Zinki = 0.1mg
Vitamini zinazopatikana kwenye Tunda la Pasheni lenye gramu 100
Vitamin A = 64mcg
Vitamini B2 = 0.13mg
Vitamini B3 = 1.5mg
Vitamini B6 =0.1mg
Vitamini B9 = 14mcg
Vitamini C = 30mg
Vitamini K = 0.7mcg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa tunda la Pasheni
Huimarisha kinga ya mwili
Huimarisha afya ya ngozi
Huimarisha macho na kusaidia kuongeza uwezo wa kuona
Huleta na kuongeza hamu ya kula
Huimarisha afya ya kongosho pamoja na kuimarisha kiwango cha sukari mwilini
Huimarisha afya ya moyo
Hudhibiti ongezeko la shinikizo la damu
Husaidia kupunguza mawazo
Huzuia saratani
Imeboreshwa,
28 Januari 2022, 11:51:43
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Passion fruit, nutritional value. https://www.nutritionvalue.org/Passion-fruit%2C_raw%2C_purple%2C_%28granadilla%29_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa 5.12.2021
Vasco-Correa J., Zapata A.D.Z. Enzymatic extraction of pectin from passion fruit peel (Passiflora edulis f. flavicarpa) at laboratory and bench scale. . LWT Food Sci. Technol. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC6017921/. Imechukuliwa 5.12. 2021
Devi Ramaiya S, Bujang JS, Zakaria MH, King WS, Shaffiq Sahrir MA. Sugars, ascorbic acid, total phenolic content and total antioxidant activity in passion fruit (Passiflora) cultivars. J Sci Food Agric. 2013 Mar 30;93(5):1198-205. doi: 10.1002/jsfa.5876. Epub 2012 Oct 2. PMID: 23027609. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/23027609/. Imechukuliwa 5.12.2021.