Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, CO
Jumapili, 27 Machi 2022
Taboli
Taboli ni mchanganyiko wa mboga mboga unaopatikana baada ya kuchanganya nyanya, kitunguu , minti na limao. Hutumika kama kionjo kwenye chakula huku wengine wakifanya kama mlo kamili kwa madhumuni fulani ya kiafya.
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Taboli
Mafuta
Madini
Sukari
Nyuzilishe
Protini
Vitamini
Kabohaidreti
Maji
Kemikali muhimu kwenye Tabboli
Kemikali muhimu zinazopatikana kwenye Taboli ni Citric Acid
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Taboli yenye gramu 100
Nishati = 126kcal
Mafuta = 9.7g
Maji = 77.32g
Kabohaidreti = 9.7g
Sukari = 1.3g
Nyuzilishe = 1.8g
Protini = 1.6g
Vitamini zinazopatikana kwenye Taboli yenye gramu 100
Vitamini A = 33mcg
Vitamini B1 = 0.042mg
Vitamini B2 = 0.027mg
Vitamini B3 = 0.698mg
Viatmini B5 = 0.6mg
Vitamini B6 = 0.069mg
Vitamini B9 = 20mcg
Vitamini C =15.8mg
Vitamini E =1.56mg
Vitamini K = 100.8mg
Madini yanayopatikana kwenye Taboli yenye gramu 100
Kalishiamu = 20mg
Kopa = 0.06mg
Madini Chuma = 0.74mg
Magineziamu = 22mg
Fosifolasi = 39mg
Potashiamu = 154mg
Sodiamu = 495mg
Zinki = 0.3mg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Taboli
Kusaidia kupunguza uzito
Kulainisha choo
Kusaidia kwenye ukuaji wa mwili
Kuimarisha meno na mifupa
Kuongeza hamu ya kula
Kuimarisha Ngozi
Kuimarisha afya ya macho na kuongeza uwezo wa kuona.
Imeboreshwa,
27 Machi 2022 17:24:37
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Tabbouleh. https://www.nutritionvalue.org/Tabbouleh_58175110_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa tarehe 1 February 2022.
The Role of Polyphenols in Human Health and Food Systems: A Mini-Review. Written By Hannah Cory, Simone Passarelli et al. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC6160559/#!po=44.298. Imechukuliwa tarehe 1 February 2022.
MarÃn L, Miguélez EM, Villar CJ, Lombó F. Bioavailability of dietary polyphenols and gut microbiota metabolism: antimicrobial properties. Biomed Res Int. 2015;2015:905215. doi: 10.1155/2015/905215. Epub 2015 Feb 23. PMID: 25802870; PMCID: PMC4352739. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/25802870/. Imechukuliwa tarehe 1 February 2022.