Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, CO
Dkt. Benjamin L, MD
Ijumaa, 28 Januari 2022
Tende
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Tende
Mafuta
Kabohaidreti
Nyuzilishe
Protini
Sukari
Madini
Vitamini
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Tende
Tende ina kemikali muhimu ziitwazo Phenolic Acid,Carotenoids na Flavonoids
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Tende Zenye gramu 100
Nishati = 277kcl
Jumla ya mafuta = 0.2g
Sodiamu= 1mg
Sukari = 66g
Kabohaidreti = 75g
Nyuzilishe = 75g
Protini = 1.8g
Maji = 21.3g
Kalisiamu= 64mg
Potasiamu =696mg
Chuma = 0.9mg
Madini yanayopatikana kwenye Tende zenye Gramu 100
Kalisiamu= 64mg
Potasiamu =696mg
Kopa = 0.36mg
Madini chuma = 0.9mg
Magneziamu = 0.296mg
Fosifolasi = 62mg
Sodiamu = 1mg
Zinki = 1mg
Vitamini zinazopatikana kwenye Tende zenye gramu 100
Vitamin A = 7mcg
Vitamini B1 = 0.05mg
Vitamini B2 = 1.61mg
Vitamini B3 = 0.091mg
Vitamini B5 = 0.805mg
Vitamini B6 =0.249mg
Vitamini B9 = 15mcg
Vitamini K = 2.7mg
Vitamini K = 2.2mcg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Tende
Huimarisha afya ya ubongo pamoja na kuongeza ufahamu na kuimarisha kumbukumbu
Huimairisha na kusaidia kutanuka njia ya uzazi kwa wakina mama wajawazito wanaokaribia kujifungua
Huimarisha kinga ya mwili na mifupa pia kupunguza na hatari ya kupata saratani
Huimarisha kiwango cha sukari mwilini na kupunguza hatari ya kupatwa na ugonjwa Wa kisukari
Huimarisha mfumo wa mmeng`enyo wa chakula
Hulanisha haja kubwa
Imeboreshwa,
28 Januari 2022, 18:55:57
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Al-Farsi MA, Lee CY. Nutritional and functional properties of dates: a review. Crit Rev Food Sci Nutr. 2008 Nov;48(10):877-87. doi: 10.1080/10408390701724264. PMID: 18949591. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/18949591/. Imechukuliwa 2 .12. 2021
Vinson JA, Zubik L, Bose P, Samman N, Proch J. Dried fruits: excellent in vitro and in vivo antioxidants. J Am Coll Nutr. 2005 Feb;24(1):44-50. doi: 10.1080/07315724.2005.10719442. PMID: 15670984. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC3992385/. Imechukuliwa 2.12.2021
Dates nutritional value. https://www.nutritionvalue.org/Dates%2C_medjool_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa 2.12. 2021