Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, Co
Dkt. Benjamin L, MD
Ijumaa, 28 Januari 2022
Ukwaju
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Ukwaju
Mafuta
Kabohaidreti
Nyuzilishe
Protini
Sukari
Madini
Vitamini
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Ukwaju
Ukwaju una kemikali muhimu ambazo nj malic acid na Tartaric acid.
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Ukwaju
Nishati = 52kcl
Jumla ya mafuta = 0.2g
Sodiamu= 1mg
Sukari = 10g
Nyuzilishe = 2.4g
Protini = 0.3g
Kalishiamu= 6mg
Potashiamu =107mg
Madini chuma = 0.1mg
Madini yanayopatikana kwenye Ukwaju wenye Gramu 100
Madini chuma = 0.1mg
Kalishiamu = 6mg
Magineziamu = 5mg
Fosifolasi = 11mg
Potashiamu = 107
Sodiamu = 1mg
Floraidi = 3.3mg
Vitamini zinazopatikana kwenye Ukwaju wenye gramu 100
Vitamin A = 3mcg
Vitamini B1 = 0.017mg
Vitamini B2 = 0.026mg
Vitamini B3 = 0.091mg
Vitamini B5 = 0.061mg
Vitamini B6 =0.041mg
Vitamini B9 = 3mcg
Vitamini C = 4.6mg
Vitamini E = 0.18mg
Vitamini K = 2.2mcg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Ukwaju
Huimarisha afya ya ini
Huzuia kupatwa ugonjwa wa baridi yabisi
Huongeza kinga ya mwili pamoja na kuukinga mwili kupatwa na kansa
Huimarisha ngozi na kuifanya kuwa angavu.
Hupunguza uzito usiotakiwa mwilini
Husaidia kwenye mmeng'enyo wa chakula
Hupunguza maumivu ya tumbo
Hulainisha haja kubwa
Huimarisha afya ya moyo pamoja na kuzuia shinikizo la juu la damu.
Huimarisha kiwango cha sukari mwilini pamoja na kuzuia kasi ya kupatwa na ugonjwa wa kisukari
Huzuia kupatwa na ugonjwa wa malaria pamoja na kutibu baadhi ya magonjwa ya bakteria
Imeboreshwa,
28 Januari 2022, 12:23:20
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Aengwanich, W. , & Suttajit, M. (2010). Effect of polyphenols extracted from Tamarind (Tamarindus indica L.) seed coat on physiological changes, heterophil/lymphocyte ratio, oxidative stress and body weight of broilers (Gallus domesticus) under chronic heat stress. Animal Science Journal, 81(2), 264–270. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC6848808/. Imechukuliwa 2 12 2021.
Valdés L, Cuervo A, Salazar N, Ruas-Madiedo P, Gueimonde M, González S. The relationship between phenolic compounds from diet and microbiota: impact on human health. Food Funct. 2015 Aug;6(8):2424-39. doi: 10.1039/c5fo00322a. Epub 2015 Jun 11. PMID: 26068710. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/26068710/. Imechukuliwa 2.12 .2021.
Tamarid nutritional value. https://www.nutritionvalue.org/Tamarinds%2C_raw_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa 2.12.2021