Imeandikwa na daktari wa ULY clinic
​
Sababu zinazoweka kusababisha upungufu wa homoni ya thyroid ni;
-
matatizo ya kuzaliwa ya shida katika uzalishaji wa homoni ya thyroid,
-
upungufu wa madini chuma mwilini au
-
kula vyakula vinavyosababisha kukua kwa tezi hii.
-
Ujauzito
-
Goita pia inaweza kuota kutokana na dawa zinazopingana na kazi za TSH. Uzalishaji wa TSH unawez kuongezwa na kinga za mwili dhidi ya TSH,
-
ukinzani wa tezi pituitary kutambua kiwango cha homoni ya thyroid,
-
saratani au vimbe za tezi ya pituitary pamoja na hypothalamus na saratani inayozalisha kwa wingi homoni ya gonadotropin(HCG) inayotolewa wakati wa ujauzito
​
ULY clinic inakushauri uwasiliane na daktari wako siku zote kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya.
​
​
Imeboreshwa mara ya mwisho,14.06.2020
​
Rejea za mada hii
​
-
Goiter. American Thyroid Association. http://www.thyroid.org/what-is-a-goiter/. Imechukuliwa 14.06.2020
-
Goiter. Hormone Health Network. https://www.hormone.org/diseases-and-conditions/goiter. Imechukuliwa 14.06.2020
-
Iodine deficiency. American Thyroid Association. http://www.thyroid.org/iodine-deficiency/. Imechukuliwa 14.06.2020
-
Simple nontoxic goiter (euthyroid goiter). Merck Manual Professional Version. https://www.merckmanuals.com/professional/endocrine-and-metabolic-disorders/thyroid-disorders/simple-nontoxic-goiter. Imechukuliwa 14.06.2020
-
NIH. Walsh JP. Managing thyroid disease in general practice. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/27510349/. Imechukuliwa 14.06.2020
-
Smith PW, et al. Thyroid. In: Sabiston Textbook of Surgery: The Biological Basis of Modern Surgical Practice. 20th ed. Saunders Elsevier; 2019. https://www.clinicalkey.com. Imechukuliwa 14.06.2020
-
Goldman L, et al., eds. Thyroid. In: Goldman-Cecil Medicine. 25th ed. Saunders Elsevier; 2016. https://www.clinicalkey.com. Imechukuliwa 14.06.2020
-
Flint PW, et al. Disorders of the thyroid gland. In: Cummings Otolaryngology: Head & Neck Surgery. 6th ed. Saunders Elsevier; 2015. https://www.clinicalkey.com. Imechukuliwa 14.06.2020
-
Medeiros-Neto G, et al. Iodine-deficiency disorders. In: Endocrinology: Adult and Pediatric. 7th ed. Saunders Elsevier; 2016. https://www.clinicalkey.com. Imechukuliwa 14.06.2020