top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Je kutekenya kwa miguu husababishwa na nini?


56 Views

Kutekenya kwa miguu husababishwa na mazaivu katika mishipa ya fahamu. Hii ni dalili mojawapo ambayo unaweza kuipata endapo mshipa wa fahamu umekandamizwa au ikiwa kuna ugonjwa mwilini unadhuru mishipa ya fahamu kama vile kisurari na UKIMWI. Soma makala hii katika makala za magonjwa ya neuropathy au miguu kuwaka moto kwa majibu zaidi

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page