top of page

Jina asili la dawa

Mwandishi:

ULY CLINIC

21 Julai 2021 18:23:36

Jina asili la dawa

Jina asili la dawa ni nini?


Jina asili la dawa ni jina lililokubalika na kutumika kimataifa kama jina halisi la dawa. Jina hili

halibadiliki kutegemea mtengenezaji. Katika mfano jina asili la dawa Panadol, Shelladol na Calpol ni paracetamol.

Imeboreshwa,

6 Juni 2022 15:06:05

bottom of page