top of page

Kipimo cha dawa

Mwandishi:

ULY CLINIC

21 Julai 2021 18:48:47

Kipimo cha dawa

Kipimo cha dawa ni nini?


Kipimo cha dawa ni kiasi cha dawa kinachotumiwa na mgonjwa katika muda wa saa 24 (siku moja).


Kipimo hiki kinapatikana kwa kuzidisha ni mara ngapi ile dozi itatumika katika saa 24


Mfano, kila baada ya saa 8 meza vidonge 3.

Imeboreshwa,

6 Juni 2022 15:04:13

bottom of page