top of page
Mwandishi:
ULY CLINIC
13 Novemba 2021, 10:15:30

Kuavya mimba
Nini maana ya kuavya mimba?
Kuavya mimba ni kitendo cha kutoa mimba iliyotungwa tumboni mwa mwanamke kwa njia ya dawa, upasuaji au njia zingine.
Njia za kuavya mimba hospitali zinategemea umri wa kiinitete au kijusi na hufanywa kwa usalama na mtalamu wa afya kutokana na sababu mbalimbali za kitiba.
Imeboreshwa,
6 Juni 2022, 14:38:51
bottom of page