top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
6 Juni 2022, 18:13:52

Uhanithi
Uhanithi ni nini?
Uhanithi katika tiba hutumika kumaanisha kukosa uwezo wa kusimamisha uume au kupotea uwezo wa uume kuendelea kusimama kwa ajili ya kujamiana mara maada ya kusimama. Kuna sababu mbalimbali zinaweza kupelekea kupata uhanithi ambazo ni, ugonjwa wa kisukari, magonjwa ya mfumo wa fahamu n.k
Majina mengine yanayotumika kumaanisha uhanithi ni;
• Uume usiosimama
Imeandikwa:
9 Julai 2021, 20:29:42
bottom of page
