top of page

Imeandikwa na Daktari wa ULY-clinic

Mkanganyiko (Confusion)

Confusion- ni neno kitiba lililotokana na neno la Kilatini "confundere"- lenye maana ya  “Kuchanganyikiwa”

Konfyushen huwa na vipindi vya kutofautia kwa konshazines na orientenshen na kupoteza kumbukumbu.

 

Delusion au hallusinattion, huweza kusababisha  hali mbaya ya ang’zayati (anxiety)  na hali ya kutotulia.

Konfyunsheni inatakiwa kutofautishwa na daimeshia (dementia), ambayo pia huwa na dalili za kuvurugika  kwa orientenshen  na kupoteza kumbukumbu, lakini konshiazines huwa inabaki kwaida.

Mgonjwa mwenye konfyusheni huhitaji kupata matibabu ya haraka kwa sababu tatizo hili kwenye ubongo linaweza kusababishwa na vitu vingi na vya hatari.

ULY CLINIC inakukumbusha siku zote uwasiliane na daktari wako endapo una dalili hii kwa ushauri, uchunguzi na tiba.

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri vipimo na tiba bonyeza hapa au piga namba za simu chini ya tovuti hii.

Imeboreshwa, 2.12.2020

Rejea

  1. Kamusi ya kiingereza ya tiba ya oxford

  2. Medical problem in dentistry na crispian sculy toleo la 6​

bottom of page