top of page

Matibabu ya maumivu ya hedhi | ULY CLINIC

Writer: Dr. Benjamin Lugonda, MDDr. Benjamin Lugonda, MD

Updated: Jun 29, 2020


Tiba zipo kuweza kutuliza maumivu yasiyo makali sana kwa kutumia dawa ya asprini au dawa zingine za kutuliza maumivu, itakupasa kunywa dawa mara utakapoanza kuona siku zako.

Kuoga maji ya mto au kujikanda kwa maji ya moto maeneo ya tumbo la chini na mgongoni kunaweza kusaidia kupunguza maumivu.


Kama maumivu ni makali zaidi

  • Pata muda wa kupumzika

  • Acha kunywa pombe

  • Acha vyakula vyenye caffeine au chumvi maana huongeza misuli kubana na kuachia na hivo kuleta maumivu

  • Kanda tumbo na mgongo

  • Pia fanya mazoezi kwa mujibu wa ratiba yako kwa maana tafiti zinaonesha kuwa mazoezi hupunguza maumivu ya hedhi na hufupisha siku za kuona damu. Hata hivyo kujamiiana wakati wa hedhi kunaweza kupunguzamaumivu ya hedhi





Usisahau kuwashirikisha watu uwapendao kupakua app ya ULY CLINIC

Karibu ULY CLINIC kwa tiba na ushauri.

 
 
 

ความคิดเห็น


bottom of page