Kuanzia leo tarehe 30/6/2020 mpaka tarehe 30/7/2020 Dr. Sospeter mangwella, MD mmoja wa daktari wa ULY clinic atatoa huduma kwa wagonjwa mbalimbali popote pale walipo kupitia application ya ULY CLINIC
Hivyo ukiwa Mtanzania unaweza kuongea na daktari upate kumuuliza swali dhidi ya afya yako, kupata ushauri na tiba pasipo kulipia.
Daktari atakushauri kuhusu tatizo lako, kipimo gani cha kufanya, dawa gani utumie na kukuandikia dawa.
Pata huduma hii ya daktari kwa kutumia application ya ULY clinic kwa kubonyeza hapa
baada ya kupakua application hiyo ingia kwenye kiduara kinachoonekana upande wa juu kulia na kisha jisajili(bure) baada ya kujisajiri omba tiba kwa kuchagua mkoa wa arusha kisha Dr. Sospeter mangwella. andika namba ya muamala 'SB1030" Kisha jaza fomu ya historia ya tatizo lako na tuma, utapata ujumbe wa kutibitisha kwamba taarifa zakozimefika, daktari ataipitia kisha atakutumia majibu ndani a nusu saa, Kuona majibu yako ni lazima uingie sehemu inaitwa 'Taarifa za tiba'
Kumbuka usitume fomu mbali na huo mda maana daktari hatajibu, tumia muda wa sa 10 kamili jioni mpaka sa 3 kamili usiku tu.
Sambaza ujumbe huu kwa watu wengine wenye matatizo ya kiafya ili waonane na madaktari kupata tiba pasipo kutumia gharama. Karibuni sana
Baadhi ya madaktari wa uly clinic
Comments