top of page

Mwandishi:

Dkt. Mercy M, CO

Mhariri:

Dkt. Benjamin L, MD

kirusi mumps-ulyclinic

Carbamazepine ni moja kati ya dawa inayotumika kuzuia na kupunguza degedege na pia hutumika katika matibabu ya magonjwa ya kiakili.


Majina ya kibishara


Majina mengine ya kibiashara ya Carbamazepine ni;


  • Tegretol

  • Equetrol

  • Epitol

  • Tegretol XR

  • Carbamazepine chewtabs

  • Carbamazepine CR

  • Carbatrol

  • Teril

  • Carnexiv


Carbamazepine ipo kundi gani la dawa?


Carbamazepine ni dawa iliyo katika makundi yafuatayo;


  • Anticonvulsant

  • Antimanic

  • Dawa za Bipola


Dawa zilizo kundi moja na Carbamazepine


Dawa zilizo kundi moja na Carbamazepine ni ;


  • Brivaracetam

  • Cannabidiol

  • Diazepam

  • Lorazepam

  • Eslicarbazepine

  • Ethosuximide

  • Perampanel

  • Phenytoin

  • Tiagabine

  • Felbamate

  • Fenfluramine

  • Lacosamide

  • Phenobarbital

  • Lamotrigine

  • Levetiracetam

  • Oxcarbazepine

  • Pregabalin

  • Zonisamide


Fomu ya dawa ya Carbamazepine


Dawa hii ipo katika fomu ya;


  • Kidonge

  • Tembe

  • Suspesheni kwaajiri ya kunywa

  • Sindano


Uzito wa dawa ya Carbamazepine


Carbamazepine ina uzito ufuatao;


Vidonge (Epitol)


  • 100mg


Vidonge (Tegretol)


  • 200mg


Vidonge (Tegretol XR)


  • 100mg

  • 200mg

  • 400mg


Tembe (Equetro, Carbatrol)


  • 100mg

  • 200mg

  • 300mg


Suspesheni kwaajiri ya kunywa


  • 100mg/5ml


Sindano


  • 10mg/ml (200mg/20ml Dozi moja kwa vial)


Carbamazepine hutibu nini?


  • Hutumika kutibu ugonjwa wa kifafa

  • Hutumika kutibu Trigeminal neuralgia

  • Hutumika kutibu Bipolar Mania


Namna Carbamazepine inavyoweza kufanya kazi


Carbamazepine inapoingia kwenye kazi hufanya kazi ya kuzuia sodium channel firing na kutibu degedege.


Ufyozwaji wa dawa


Ufyozwaji wa dawa hii hufanyika kwenye mfumo wa chakula mtu akiwa amepata chakula, kiwango cha dawa kinachoonekana kwenye damu ni hadi 85% baada ya mtu kumeza na huchukua masaa 4-5 kwa dawa kuanza kuonekana kwenye damu baada ya mtu kumeza.


Mwingiliano wa Carbamazepine na chakula


Dawa hii ni nzuri ikitumika pamoja na chakula kwani chakula husaidia katika ufyozwaji wa dawa.


Wagonjwa wasiopaswa kutumia Carbamazepine


  • Wagonjwa wenye mzio wa Carbamazepine.

  • Wagonjwa wenye bone marrow suppression.


Utoaji taka wa Carbamazepine mwilini


Asilimia sabini na mbili (72%) ya Dawa hii hutolewa njee kwa njia ya mkojo na asilimia ishirini na nane (28%) hutolewa kwa njia ya haja kubwa.


Matumizi ya Carbamazepine kwa mama mjamzito


Tafiti zinaonesha kuwa dawa hii inaweza kuleta madhara kwa mtoto hivyo tahadhari inatakiwa wakati mama anatumia dawa hii.


Matumizi ya Carbamazepine kwa mama anayenyonyesha


Tafiti zinaonesha kuwa dawa hii inatolewa kwenye maziwa ya mama lakini haijaonesha madhara kwa mtoto hivyo kimoja wapo kinatakiwa kizingatiwe kati ya mama kutumia dawa au mtoto kunyonya.


Dawa zenye muingiliano na Carbamazepine



Dawa zenye mwingiliano mkali na hivyo kutofaa kutumika pamoja na Carbamazepine;

  • Abametapir

  • Abemaciclib

  • Amiodarone

  • Atorvastatin

  • Avapritinib

  • Dexamethasone

  • Diazepam

  • Erythromycin base

  • Esomeprazole

  • Haloperidol

  • Hydrocortisone

  • Isosorbide dinitrate

  • Isosorbide mononitrate

  • Ketoconazole

  • Losartan

  • Methadone

  • Omeprazole

  • Prednisolone

  • Rifampin

  • Warfarin


Dawa zinazoweza kutumika na Carbamazepine chini ya uangalizi;

  • Amitriptyline

  • Amlodipine

  • Artemether/lumefantrine

  • Artesunate

  • Atazanavir

  • Bosentan

  • Carvedilol

  • Clomipramine

  • Cortisone

  • Cyclosporine

  • Dapsone

  • Diazepame

  • Doxycycline

  • Efavirenz

  • Esomeprazole

  • Fluconazole

  • Griseofulvin

  • Haloperidol

  • Heparin

  • Hydrocortisone

  • Ibuprofen

  • Isoniazid

  • Ketamine

  • Lansoprazole

  • Lidocaine

  • Losartan

  • Lumefantrine

  • Metronidazole

  • Mifepristone

  • Omeprazole

  • Phenobarbital

  • Phenytoin

  • Quinine

  • Ritonavir

  • Tamoxifen

  • Testosterone

  • Tinidazole

  • Verapamil

  • Warfarin

  • Zonisamide



Dawa zenye mwingiliano mdogo na Carbamazepine

  • Acetaminophen

  • Ambrisentan

  • Amitriptyline

  • Bupropion

  • Clomipramine

  • Dexmethylphenidate

  • Diclofenac

  • Dosulepin

  • Flurbiprofen

  • Fluvastatin

  • Folic acid

  • Fosphenytoin

  • Frovatriptan

  • Green tea

  • Ibuprofen

  • Ibuprofen iv

  • Imipramine

  • Isotretinoin

  • L-methylfolate

  • Levocarnitine

  • Levothyroxine

  • Liothyronine

  • Lofepramine

  • Maprotiline

  • Mebendazole

  • Meloxicam

  • Niacin

  • Nortriptyline

  • Omeprazole

  • Onabotulinumtoxina

  • Oxcarbazepine

  • Pancuronium

  • Perampanel

  • Phenytoin

  • Piroxicam

  • Protriptyline

  • Sulfamethoxazole

  • Trazodone

  • Trimipramine

  • Vasopressin


Maudhi madogo ya Carbamazepine


  • Ataxia

  • Mwili kuchoka

  • Kusinzia

  • kutapika

  • Kukosa hamu ya kula

  • Kizunguzungu

  • Maumivu ya kichwa

  • Mdomo kukauka

  • Steven Johnson syndrome

  • Kichefuchefu


Ufanye nini endapo utasahau kutumia dozi yako?


Kama umesahau kutumia dozi yako tumia mara pale utakapokumbuka, kama muda wa dozi inayofata umekaribia usimeze dozi uliyosahau endelea na dozi inayofuata kwa muda uliopangiwa na daktari. Usimeze dozi mbili kufidia uliyosahau.

17 Januari 2026, 15:31:06

Dawa Carbamazepine

Imeboreshwa,

30 Oktoba 2021, 18:39:49

Dawa yoyote ni sumu, usitumie dawa pasipo ushauri wa daktari kuepuka madhara kwenye ogani mbalimbali kama figo na ini. Matumizi ya dawa pasipo ushauri wa daktari unaweza kusababisha madhara na usugu wa vimelea vya maradhi kwenye dawa.

ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baad aya kusoma makala hii.

Kupata ushauri zaidi na tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya Mawasiliano yetu au Pata tiba.

Rejea za mada hii:

  1. Brunton LL, Hilal-Dandan R, Knollmann BC. Goodman & Gilman's: The Pharmacological Basis of Therapeutics. 14th ed. New York: McGraw-Hill; 2023. Antihypertensive agents.

  2. Sweetman SC, editor. Martindale: The Complete Drug Reference. 40th ed. London: Pharmaceutical Press; 2020. Methyldopa.

  3. McEvoy GK, editor. AHFS Drug Information 2024. Bethesda (MD): ASHP; 2024. Methyldopa.

  4. World Health Organization. WHO recommendations for prevention and treatment of pre-eclampsia and eclampsia. Geneva: WHO; 2023.

  5. Drugs.com. Methyldopa [Internet]. 2024 [cited 2025 Jun 5].

  6. Micromedex (IBM Watson). Methyldopa Drug Monograph. 2024.

bottom of page