top of page

Dawa 02

 Mhariri:

Dawa Acarbose

Acarbose ni dawa jamii ya kizuizi cha alpha-glucosidase inayotumika pamoja na mazoezi kudhibiti sukari kwenye gamu kwa wagonjwa wa kisukari aina ya pili.

Mhariri:

Dawa Ambrisentan

Ambrisentan ni kwenye kundi la wapinzani wa mlango endothelin inayotumika kutibu shinikizo la juu la damu kwenye mapafu na arteri.

Mhariri:

Dawa Carbamazepine

Carbamazepine ni moja kati ya dawa inayotumika kuzuia na kupunguza degedege na pia hutumika katika matibabu ya magonjwa ya kiakili.

Mhariri:

Dawa Ceftriaxone

Ni dawa ya kuua bakteria yenye wigo mpana dhidi ya vimelea jamii ya gramu hasi na chanya. Huweza kutibu maambukizi katika sehemu mbalimbali kama ngozi, mfumo wa upumuaji, tishu laini, ubongo na mfumo wa mkojo.

Mhariri:

Dawa Clobazam

Clobazam ni dawa jamii ya benzodiazepam inayotumika katika matibabu ya degedege la sindromu ya Lennox-Gastaut.

bottom of page