Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, MD
Mhariri:
Dkt. Adolf S, MD
Dawa ya homa ya ini
9 Juni 2021 18:28:03
Dawa za kutibu maambukizi ya kirusi cha Homa B
Entecavir (Baraclude),
Tenofovir (Viread),
Lamivudine (Epivir)
Adefovir (Hepsera)
Telbivudine (Tyzeka)
Interferon alfa-2b (Intron A)
Maambukizi ya kirusi cha Homa C ya Ini
Simeprevir
Sofosbuvir
Ledipasvir + Sofosbuvir
Ombitasvir+ Paritaprevir + Ritonavir
Sofosbuvir + Velpatasvir
Sofosbuvir + Velpatasvir + Voxilaprevir
Glecaprevir +Pibrentasvir
Ribavarin
Maelezo ya ziada
Maelezo mengine unapata wapi kuhusu matibabu ya Kirusi cha homa ya ini B na C
1. Homa ya Kirusi cha Hepatitis B. https://www.ulyclinic.com/hepatitis-b-maambukizi
2. Homa ya ini B na C. https://www.ulyclinic.com/homa-ya-ini-dalili
3. Hepatitis. https://www.ulyclinic.com/hepatitis.
Majina mengine ya dawa za homa ya ini ni yapi?
Baadhi ya watu hutumia majina yafuatayo kumaanisha dawa za kirusi cha homa B na C ya ini
Dawa za homa ya ini
Dawa za kirusi cha hepatitis
Dawa za hepatitis
Dawa ya homa ya manjano kutokana na homa ya ini
Dawa za hepatitis B
Dawa za hepatitis C