top of page

Elimu ya magonjwa kwa mjamzito

Sehemu hii utajifunza maelezo ya ziada kuhusu matatizo mbalimbali ya kiafya wakati wa ujauzito. Unashauriwa siku zote kuwasilaina na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile iliyoandikwa humu ili kupata ushauri unaoendana na hali yako ya kiafya.

UTI kwa mjamzito

UTI kwa mjamzito

UTI hutokea sana wakati wa ujauzito kiasi cha kuweza hatarisha afya ya mama na mtoto tumboni. Unaweza kujikinga kwa njia asili kama kuzingatia kanuni za usafi wa maeneo ya siri, kunywa sharubati yenye vitamin C n.k.

Wiki ya 10 ya ujauzito

Wiki ya 10 ya ujauzito

Mtoto hupata uwezo wa kunywa maji ya ndani ya chupa ya uzazi, kujikunja na kunyoosha miguu yake na huanza kukua haraka sana.

Wiki ya 9 ya ujauzito

Wiki ya 9 ya ujauzito

Kipindi hiki viungo muhimu vya mtoto huwa vimeshatengenezwa, hata hivyo mtoto huwa na urefu wa sentimita 2.3 sawa na ukubwa wa zabibu na uzito wa gramu 2 tu.

Wiki ya 8 ya ujauzito

Wiki ya 8 ya ujauzito

Kiwango kikubwa cha homon mwilini mwako huamsha ukuaji wa matiti ili kukuandaa kwa ajili ya kunyonyesha mtoto. ubongo wa mtoto pia hukua na kuanza kutengeneza mishipa ya kale ya neva.

Wiki ya 7 ya ujauzito

Wiki ya 7 ya ujauzito

Mtoto tumboni huanza kupata mwonekano wa binadamu, huwa na viganga vidogo na miguu ambayo huanza kukua na mkia wake pia huanza kupungua urefu.

bottom of page