top of page

Elimu ya magonjwa kwa mjamzito

Sehemu hii utajifunza maelezo ya ziada kuhusu matatizo mbalimbali ya kiafya wakati wa ujauzito. Unashauriwa siku zote kuwasilaina na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile iliyoandikwa humu ili kupata ushauri unaoendana na hali yako ya kiafya.

Seli mundu na ujauzito

Seli mundu na ujauzito

Makala hii imelenga kumwelimisha mjamzito mwenye tatizo la seli mundu. Elimu hii ni itakufanya uelewe vema afya yako na aina ya huduma na matibabu yanayopatikana kwa ajili yako kwenye ujauzito na kupata mwisho mzuri wa ujauzito.

Pumu kwa mjamzito

Pumu kwa mjamzito

Dalili kali za pumu huonekana sana kwenye ujauzito wa umri wa wiki 29 hadi 36, mama atapaswa kuzingatia ushauri na maelekezo ili kuepuka athari za ugonjwa na dawa kwa kijusi tumboni.

bottom of page