top of page

Lehemu

Mwandishi:

ULY CLINIC

9 Julai 2021 17:09:13

Lehemu

Lehemu ni nini?


Lehemu ni kiini cha nta kinachopatikana kwenye damu. Mwili unahitaji lehemu ili kutengeneza chembe hai zenye afya, hata hivyo endapo lehemu inazidi kwenye damu, huongeza hatari ya magonjwa ya mishipa ya damu na moyo. Endapo kuna kiwango kikubwa cha lehemu kwenye damu, lehemu hii huganda kwenye mishipa ya damu. ikitokea bahati mbaya nta iliyoganda ikamonyoka, husafiri kwenye mishipa ya damu na inapofika kwenye mishipa midogo huziba na kusababisha tishu mbele ya mshipa kukosa chakula na oksijeni hivyo kufa. Hii ni msingi w akutokea kwa kiharusi, mshituko wa moyo na magonjwa ya mishipa ya damu na fahamu.

Baadhi ya kazi za lehemu ni kutengeneza vichochezi ( homoni) vitamin D na kemikali zingine zinazosaidia umeng'enyaji wa chakula.


Majina mengine


Lehemu hufahamika kwa majina mengine ya;


Imeboreshwa,

6 Juni 2022 15:18:28

bottom of page