top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

Dkt. Benjamin L, MD

9 Oktoba 2021 08:44:50

Chanjo ya Corona ya TZ ni ile iliyositishwa Afrika kusini?

Je chanjo iliyoletwa Tanzania sio ile iliyositishwa kutumika katika baadhi ya nchi ikiwemo Afrika ya Kusini?

Hapana!

Chanjo iliyoletwa Tanzania haijapigwa marufuku sehemu yoyote ile duniani. Chanjo hii imeorodheshwa na Shirika la Afya Duniani kuwa ni salama, na inatumika katika nchi 58 ulimwenguni kote.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 09:16:16

Rejea za mada hii

bottom of page