top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

Dkt. Benjamin L, MD

9 Oktoba 2021 07:48:26

Chanjo ya COVID-19 si salama?

Kwanini inasemekana chanjo ya Corona sio salama?

Chanjo ya COVID-19 ni salama na imetengenezwa kwa kuzingatia miongozo na taratibu za kisayansi zinazohakikisha usalama na ubora wa chanjo kwa watumiaji. Uhaba wa elimu ya chanjo kuhusu utengenezaji na ufanyaji kazi wake, umepelekea baadhi ya watu kuwa na hofu labda chanjo si salama. Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imehakiki na kuridhika na usalama wa chanjo za COVID-19 zinazotolewa nchini.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 09:16:30

Rejea za mada hii

bottom of page