top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

Dkt. Benjamin L, MD

9 Oktoba 2021 07:55:22

COVID-19 na uchangiaji damu

Je, mtu akiwa na Corona anaweza kuchangia damu?

Unapotaka kuchangia damu ni vyema ukafika katika kituo cha kutolea huduma za afya ili ufanyiwe vipimo na mtoa huduma ajiridhishe kama unakidhi vigezo vya kuchangia damu.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 09:16:28

Rejea za mada hii

bottom of page