top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
10 Oktoba 2021 13:39:04
Hakuna madhara ya chanjo ya Corona kwa mtoto atakayezaliwa na mama aliyechanjwa?
Tafiti zawali zinaonyesha kuwa viambata vilivyopo katika chanjo za COVID-19 hazina madhara kwamama mjamzito na mtoto atakayezaliwa.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
10 Oktoba 2021 13:39:04
Rejea za mada hii
bottom of page