top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

10 Oktoba 2021 14:18:37

Je, kuna uhusiano gani kati ya pombe na chanjo?

Je, kuna uhusiano gani kati ya pombe na chanjo?

Unashauriwa kuacha kunywa pombe kwa masaa 24 – 72 baada ya kuchanjwa kwa sababu unywaji wa pombe unaweza kuongeza maudhi yanayotokana na dawa. Aidha hakuna Ushahidi wa kisayansi unaoonesha kwamba pombe inazuia chanjo kufanya kazi.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021 14:18:37

Rejea za mada hii

bottom of page