top of page
Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, MD
Mhariri:
10 Oktoba 2021 16:27:52
Je baada ya kupata chanjo ya COVID 19 unaweza pia kupimwa na kukutwa na maambukizi?
NDIO!
Kama una maambukizi, baada ya kuchanjwa unaweza kukutwa na maambukizi hayo. Hata hivyo ukichanjwa, mwili unajenga kinga dhidi ya Corona na inapotokea ukapata maambukizo ya Corona madhara yake ni madogo ukilinganisha na wale ambao wanapata maambukizo bila kupata chanjo.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
10 Oktoba 2021 16:27:52
Rejea za mada hii
bottom of page