top of page
Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
10 Oktoba 2021, 16:14:48
Je kama unatarajia kupata ujauzito bado unaweza kupata chanjo ya COVID-19?
Ndio!
Kwa taarifa za awali kutoka kwa watumiaji, waliochoma chanjo hawajaonekana kupata madhara au kutopata ujauzito kutokana na chanjo. Unaweza kuchoma chanjo baada ya kushauriwa na daktari wako.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
10 Oktoba 2021, 16:14:48
Rejea za mada hii
bottom of page