top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
ULY CLINIC
9 Oktoba 2021, 11:59:21
Unapoambiwa kurudia kipimo baada ya siku saba ina maana gani?
HiIi linaweza kusababishwa na vitu vingi, mojawapo inaweza kuwa majibu ya kipimo chako hayajapata muafaka kwa hiyo ili kupata majibu sahihi unatakiwa kuchukuliwa sampuli tena ili kurudia kipimo baada ya siku 7.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
9 Oktoba 2021, 12:27:48
Rejea za mada hii
bottom of page