top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

Dkt. Benjamin L, MD

9 Oktoba 2021 07:52:30

Kutochukuliwa hatua kwa wapotoshaji

Kwanini serikali haiwachukulii hatua watu wanapotosha jamii kuhusiana na njia za kujikinga na Corona ikiwemo Chanjo yake?

Elimu inazidi kutolewa kwa jamii ili iwe na uelewa sahihi na kuepuka taarifa za kupotosha kutoka kwa watu wasio sahihi. Hii inafanyika kwa kuyashirikisha makundi mbalimbali yaliyopo kwenye jamii kupitia viongozi wao. Na inapobidi serikali hutumia vyombo vyake kuwawajibisha wahusika wanaopotosha

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 09:16:30

Rejea za mada hii

bottom of page