top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

10 Oktoba 2021 13:06:54

Unaweza kuchanjwa chanjo ya J&J alafu ukachoma Moderna au Pfizer?

Unaweza kuchanjwa chanjo ya J&J alafu ukachoma Moderna au Pfizer?

Hapana!

Kkwa sasa chanjo ya J&J ni dozi moja hivyo ukishachomwa mara moja kinga mwili inajengeka. Haina haja ya dozi ya pili au kuchoma chanjo nyingine.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021 13:06:54

Rejea za mada hii

bottom of page