top of page

Mwandishi:

Dkt. Sospeter B, MD

Mhariri:

Dkt. Charles W, MD

20 Novemba 2021 18:15:22

Vidonge vya majira wakati wa kunyonyesha

Je, unamnyonyesha maziwa ya mama mtoto mwenye umri chini ya miezi sita?

Vidonge vya majira wakati wa kunyonyesha

Kama unanyonyesha mtoto mfululizo maziwa ya mama tu hupaswi kutumia majira yenye vichocheo viwili mpaka baada ya miezi 6 toka umejifungua au wakati maziwa yako si chakula kikuu kwa mtoto.


Kama utanyonyesha kwa kiasi, anza kutumia vidonge vya majira yenye vichocheo viwili wiki 6 baada ya mtoto kuzaliwa.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

20 Novemba 2021 18:26:34

Rejea za mada hii

  1. Family planning. Using Clinical Judgment in Special Cases. https://www.fphandbook.org/using-clinical-judgment-special-cases-5. Imechukuliwa 20.11.2021

  2. Who Can and Cannot Use Combined Oral Contraceptives. https://www.fphandbook.org/who-can-and-cannot-use-combined-oral-contraceptives. Imechukuliwa 20.11.2021

  3. Contraception and Reproduction: Health Consequences for Women and Children in the Developing World. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/books/NBK235069/. Imechukuliwa 20.11.2021

bottom of page