top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
ULY CLINIC
9 Oktoba 2021, 09:25:54

Je ili kuingia Tanzania lazima uwe umechanjwa chanjo ya Corona?
Hapana!
Mpaka sasa hakuna katazo la kumzuia wageni ambao hawajachanja kuingia Tanzania.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
9 Oktoba 2021, 12:28:18
Rejea za mada hii
bottom of page