
01
Kifungua kinywa
Asubuhi
Sharubati ya ubongo
Viambato:
Maziwa ya shayiri
Beri za bluu au nyeusi
Stroberi
Kimea cha ngano
Tende
Jozi
Faida
Kila mililita 250 ya sharubati huwa na nishati ya kalori 216
Huimarisha mfumo wa neva na kuboresha utendaji wa akili.
Kati ya asubuhi na mchana
Sharubati ya nyanya
Viambato:
Nyanya
Mafuta ya zeituni
Faida
Kila mililita 250 ya sharubati huwa na nishati yenye kalori 139
Huhuisha mfumo wa neva na kuboresha akili.
02
Mlo wa katikati ya mchana na jioni
Chicha ya mahindi
Viambato:
Mtama
Mbadala beli nyeusi
Nanasi
Karafuu
Kikonyo cha mdalasini
Sharubati ya limau
Faida
Kila mililita 250 inayonywewa huwa na nishati yenye kalori 118
03
Mlo wa alasiri
Viagra ya asili
Viambato:
Tikitimaji
Ndizi
Jozi
Faida
Kila mililita 250 ya hutoa kalori 200
Hutunza kuta za ateri
Huongeza mzunguko wa damu kwenye via vya uzazi
Huweza tumika kwa wanaume na wanawake
04
Chakula cha jioni na Usiku
Sharubati mchanganyiko
Viambato:
Sharubati ya fyulisi
Sharubati ya nanasi
Sharubati ya chungwa
Kinywaji kitam cha grenadine
Faida
Kila mililita 125 inayonywewa hutoa kaloli 78
Huhuisha vitamin na visafisha mwili
Sharubati zenye uwezo wa kuongeza mzunguko wa damu kwenye via vya uzazi, huchochea hamu na kuimarisha uwezo wa kufanya na kufurahia tendo la ndoa.
Imeboreshwa;
28 Desemba 2021, 06:42:37
Rejea za mada hii:
Shirai, Masato et al. “Oral L-citrulline and Transresveratrol Supplementation Improves Erectile Function in Men With Phosphodiesterase 5 Inhibitors: A Randomized, Double-Blind, Placebo-Controlled Crossover Pilot Study.” Sexual medicine vol. 6,4 (2018): 291-296. doi:10.1016/j.esxm.2018.07.001.
Figueroa A, et al. Influence of L-citrulline and watermelon supplementation on vascular function and exercise performance. Curr Opin Clin Nutr Metab Care. 2017 Jan;20(1):92-98. doi: 10.1097/MCO.0000000000000340. PMID: 27749691.
Senthilkumaran, et al. “Priapism, pomegranate juice, and sildenafil: Is there a connection?.” Urology annals vol. 4,2 (2012): 108-10. doi:10.4103/0974-7796.95560.