top of page

Mlo wa siku

Nguvu za kiume

Sharubati zenye uwezo wa kuongeza mzunguko wa damu kwenye via vya uzazi, huchochea hamu na kuimarisha uwezo wa kufanya na kufurahia tendo la ndoa.

Nguvu za kiume 2

Mkusanyiko wa sumu mwilini zinazochangiauharibifu katika mishipa ya damu huweza kupunguzwa na matumizi ya sharubati za matunda mbalimbali na hivyo kuimarisha ufanyaji wa tendo la ndoa.

Tiba ya kuchelewesha uzee

Mkusanyiko wa sumu mwilini zinazochangia uzee wa haraka huweza kupunguzwa na matumizi ya sharubati za matunda mbalimbali na hivyo hivyo kuchelewesha uzee. Matumizi ya muda mrefu huwa na manufaa zaidi.

Tiba ya kuongeza uzito

Sharubati na rojorojo zenye kalori nyingi na virutubisho huupa mwili nishati ya kutosha na kusababisha kuongezeka kwa uzito huku mtu akiwa anapata vijenzi vya kiafya.

Tiba ya saratani

Kwa ujumla sharubati na rojorojo ni muhimu katika kuzuia saratani kwa sababu ya kuwa na viinilishe vinavyo zuia saratani.

bottom of page