top of page
Mellow_Yellow_Top_Table-498.jpg

Nguvu za kiume 2

Mkusanyiko wa sumu mwilini zinazochangiauharibifu katika mishipa ya damu huweza kupunguzwa na matumizi ya sharubati za matunda mbalimbali na hivyo kuimarisha ufanyaji wa tendo la ndoa.

Mwandishi:

Dkt. Lameck I, TA

Mhariri:

Dkt. Mangwella S, MD

28 Desemba 2021 08:26:26

01

Kifungua kinywa

Asubuhi


Sharubati ya nguvu


Viambato:


  • Stroberi

  • Embe

  • Sharubati ya limau

  • Unga wa vanilla

  • Sukari guru


Faida


  • Kila mililita 250 ya sarubati hutoa nishati ya kaloli 115

  • Husafisha na kuzuia ongezeko la sumu ya oksijeni mwilini

  • Huandaa mwili kwa mapenzi


Katikati ya asubuhi na mchana


Sharubati ya zabibu


Viambato:


Zabibu za kijani au za rangi ya zambarau


Faida


  • Kila mililita 250 ya sharubati hutoa nishati yenye kaloli 98

  • Huondoa sumu ya oksijeni kwenye damu

02

Project Name

This is your Project description. Provide a brief summary to help visitors understand the context and background of your work. Click on "Edit Text" or double click on the text box to start.

03

Project Name

This is your Project description. Provide a brief summary to help visitors understand the context and background of your work. Click on "Edit Text" or double click on the text box to start.

04

Mlo wa jioni

Sharubati ya upendo


Viambato:


  • Nanasi

  • Maziwa ya nazi

  • Ndizi


Faida


  • Kila mililita 250 ya sharubati hutoa nishati yenye kalori 162

  • Huamsha upendo

Upungufu wa nguvu za kiume


Moja ya ishara za kuzeeka ni kupungua kwa uwezo wa kujamiana ama kukosa hamu au nguvu za kuleta utosherevu kwa mpenzi. Hali hii inaweza kutokea katika umri wowote, hivyo vijana wanaweza kunufaika na tiba hii ya kucherewesha uzee.


Wakati gani wa kutumia sharubati ya nguvu za kiume 2


Mahusiano ya kujamiana kwa wanaume na wanawake wa umri wote huboreshwa wakitumia aina hii ya mlo ulioainishwa kwenye makala hii.


Njia zingine za kuongeza hamu na uwezo wa tendo la ndoa


Wanawake na wanaume wanaweza kuchelewesha uzee kwa;

  • Kutumia tiba ya kusafisha au kuzimua sumu

  • Kuongeza ulaji wa matunda na mboga zinazodhibiti ongezeko la sumu ya oksijeni

  • Kuacha matumizi ya tumbaku

  • Kuacha matumizi ya vileo

  • Kuacha matumizi ya dawa za kulevya

  • Kulala kwa muda wa kutosha

  • Kuepuka msongo wa mawazo

  • Kuepusha msongo wa kimwili

  • Kuwa na mtazamio chanya katika maisha


Kina nani wanaweza kutumia tiba hii?


  • Watu wapatao uzee haraka

  • Watu wanaokosa hamu au nguvu ya tendo la ndoa

  • Watu wanaopungukiwa utendaji wao kimwili na kiakili

Imeboreshwa;

28 Desemba 2021 08:32:04

Rejea za mada hii:

  1. Das S, et al. Antiaging properties of a grape-derived antioxidant are regulated by mitochondrial balance of fusion and fission leading to mitophagy triggered by a signaling network of Sirt1-Sirt3-Foxo3-PINK1-PARKIN. Oxid Med Cell Longev. 2014;2014:345105. doi: 10.1155/2014/345105. Epub 2014 Jan 12. PMID: 24669285; PMCID: PMC3942197.

  2. Lekli, et al. “Longevity nutrients resveratrol, wines and grapes.” Genes & nutrition vol. 5,1 (2010): 55-60. doi:10.1007/s12263-009-0145-2

bottom of page