top of page

Macho mekundu

Updated: Nov 6, 2021

Macho mekundu


Macho mekundu ni hali inayojitokeza sana, hata wewe katika maisha yako unaweza kuwa umeshawahi pata shida hii. Dalili hii huleta mwonekano wa macho kuwa na rangi nyekundu katika sehemu ya jicho inayoitwa konjunctiva ambayo kwa kawaida huwa na rangi nyeupe. Hali ya wekundu hutokea kutokana na kupanuka kwa mishipa ya damu katika macho, kutanuka huku husababishwa na hali au maambukizi mbalimbali. Endapo jicho jekundu litaambatana na maumivu ni vema kumuona daktari kwa vipimo na uchunguzi kwa sababu inaweza kuwa sababu ya hatari. Dalili hii huweza kuathiri jicho moja au yote na mara nyingi husababishwa na mtu kukaa kwenye mwanga mdogo ,kukosa usingizi wa kutosha au kulewa kupita kiasi

Soma zaidi kuhusu mada hii kwa kubonyeza hapa


Pia soma vitu vingine kuhusu macho kwa kubonyeza


Unasumbuliwa na jicho?  ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako siku zote kabla ya kuchukua haua yoyote inayohusu afya yako.

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na Tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza 'Pata Tiba' chini ya tovuti hii.

593 views0 comments

Recent Posts

See All
bottom of page