top of page

Usalama wa dawa Kipindi cha ujauzito

Madawa yanayotumika sana kipindi cha ujauzito ni yale yaliyo katika makundi haya yale ya kuzuia kutapiak(antemetics), kuzuia uzalishaji tindikali(antacid), anthistamine, analegesics, antimicrobial, tranquilizers, hypnotic, diuretics, na madawa ya kulevya.

Shirika la dawa na chakula FDA limeweka madawa katika makundi 5 kulingana na usalama wake kutumika kipindi cha ujauzito.

Makundi haya ni A, B, C, D na X.

Tafiti chache za dawa zimefanyika kuonyesha usalama wa dawa kipindi cha ujauzito. Taarifa nyingi kuhusu usalama wa dawa kwa mama mjamzito zimefanyika kwa wanyama wengine, mara baada ya madawa haya kuonekana yapo salama basi huweza kutumiwa na wamama wajawazito na madhara yanapoonekana, taarifa hizo hutumika kama sehemu ya tafiti ya madhara ya dawa

Kusoma zaidi makundi ya dawa hizi bonyeza hapa


28 views0 comments

Recent Posts

See All
bottom of page