Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
Dkt. Charles W, MD
11 Juni 2020 10:52:59
Mlo wa kushusha shinikizo la damu bila kutumia dawa
Mlo wa kushusha shinikizo la damu bila kutumia dawa kama utatumika ipasavyo umeonekana kuwa na ufanisi mkubwa kwa mgonjwa na huondoa haja ya kuendelea kutumia dawa za kushusha shinikizo la damu. Mlo ulioandikwa hapa unatokana na mpangilio wa "Mlo wa kushusha shinikizo la juu la damu" (MSL) huu ni mlo maalumu kwa ajili ya kujiikinga na kuonda shinikizo la damu.
MSL ni mpangilio maalumu wa chakula cha kushusha shinikizo la damu. Mlo huu ulipangwa kwa mara ya kwanza kupunguza kiwango cha chumvi mtu anachokula ili kudhibiti shinikizo la damu. Msingi wa MSL ni kupunguza kiwango cha chumvi kwenye damu.
Ni vitu gani unatakiwa kuna wanvyo ili kuweza kuandaa mlo wa MSL?
Unatakiwa kuwa na orodha ya vyakula vifuatavyo ili kuweza kuandaa mlo wa MSL, kumbuka vyakula hivi vimewekwa kwenye makundi chini yamaelezo haya;
Alizeti
Artichokes
Bata mzinga
Boga
Brokoli
Hoho
Kabeji
Karanga
Karanga ya korosho
Karanga ya kungu
Karoti
Kuku
Limau
Mafuta ya magarini
Maharagwe ya kijani
Mahindi
Matunda madogomadogo
Mayai
Maziwa mgando yaliyo chachuliwa
Maziwa yaliyopunguzwa mafuta
Maziwa yasiyo na mafuta
Mbegu za maboga
Mbegu za zenye maotea
Mchele poli
Mchele wa brauni
Mkate na mbegu za kutengenezea mkate
Nanasi
Ndizi
Ngano isiyokobolewa
Nyama
Peasi
Pecan
Samaki
Samaki salmon
Siagi ya karanga
Soya isiyokobolewa
Sukuma wiki
Tufaa
Uduvi
Unga wa soya
Uyoga
Viazi
Vitunguu
Walnut
Zabibu
Zabibu za kukaushwa
Makundi ya vyakula
Vyakula hivi vimegawanywa kwenye makundi makuu matatu, kundi la mbogamboga na matunda, kundi la nyama na wanyama wa majini na kundi la karanga na mafuta;
Matunda na mboga za majani
Alizeti
Artichokes
Boga
Brokoli
Hoho
Kabeji
Karoti
Limau
Maharagwe ya kijani
Mahindi
Matunda madogomadogo
Mbegu za zenye maotea
Nanasi
Ndizi
Peasi
Sukuma wiki
Tufaa
Uyoga
Viazi
Vitunguu
Zabibu
Zabibu za kukaushwa
Nyama na wanyama wa majini
Bata mzinga
Kuku
Mayai
Mchele poli
Mchele wa brauni
Mkate na mbegu za kutengenezea mkate
Ngano isiyokobolewa
Nyama
Samaki
Samaki salmon
Soya isiyokobolewa
Uduvi
Unga wa soya
Karanga na mafuta
Karanga
Karanga ya korosho
Karanga ya kungu
Mafuta ya magarini
Maziwa mgando yaliyo chachuliwa
Maziwa yaliyopunguzwa mafuta
Maziwa yasiyo na mafuta
Mbegu za maboga
Pecan
Siagi ya karanga
Walnut
Vidokezo muhimu vya kuzingatia unapoandaa mlo wako
Jiandae kubadili mtindo wa maisha yako, mlo ulioandikwa hapa unatakiwa kutumika kwa maisha yako yote na si kwa ajili ya ugonjwa tu
Ili kuweza kufikia kula milo mitatu yenye maziwa, jaribu kutumia maziwa ambayo hayana mafuta
Unapochagua mboja za majani, chagua zile ambazo hazina chumvi na ambazo si za kusindikwa. Kama huna uchaguzi mwingine tumia ambazo zimesindikwa lakini zenye chumvi kidogo sana.
Hakikisha unasoma kuhusu vilivyomo kwenye vyakula unavyonunua dukani ili kujua kiwango cha chumvi, nunua vyakula vyenye kiwango kidogo cha chumvi. Kama unapenda kitu chenye sukari, nunua matunda ya kukaushwa.
Tumia mbadala wa baadhi ya vyakula vya kununua, mfano kama unataka kula tambi, tengeneza tambi za kutumia mchele wa brauni, au ngano isiyokobolewa au mchele mweupe.
Mazoezi siku zote ni muhimu katika kuimarisha afya.
Tumia vitabu na maelezo muhimu kuhusu vyakula ili yakusaidie na kukufanya uwe na taarifa za hivi karibuni kuhusu vyakula mbalimbali.
Endelea kutembelea makala hii kila siku ili kusoma zaidi na kupata mabadiliko ambayo yanafanywa kila siku.
Imeboreshwa,
6 Oktoba 2021 10:50:16
ULY Clinic inakushauri siku zote usichukue hatua yoyote ile inayoathiri afya yako bila kuwasiliana na daktari wako.
Wasiliana na daktari wa ULY CLinic kwa kubonyeza 'Pata Tiba' au kutumia namba za simu chini ya tovuti hii kwa elimu suhauri na Tiba
Rejea za mada hii,
-
Beckett NS, Peters R, Fletcher AE, et al; HYVET Study Group. Treatment of hypertension in patients 80 years of age or older. N Engl J Med. 2008;358(18):1887-1898.PubMedGoogle ScholarCrossref. Imechukuliwa 09.06.2020
-
SHEP Cooperative Research Group. Prevention of stroke by antihypertensive drug treatment in older persons with isolated systolic hypertension: final results of the Systolic Hypertension in the Elderly Program (SHEP). JAMA. 1991;265(24):3255-3264. ArticlePubMedGoogle ScholarCrossref. Imechukuliwa 09.06.2020
-
Institute of Medicine. Clinical Practice Guidelines We Can Trust. Washington, DC: National Academies Press; 2011. http://www.iom.edu/Reports/2011/Clinical-Practice-Guidelines-We-Can-Trust.aspx. Imechukuliwa 09.06.2020
-
Staessen JA, Fagard R, Thijs L, et al; The Systolic Hypertension in Europe (Syst-Eur) Trial Investigators. Randomised double-blind comparison of placebo and active treatment for older patients with isolated systolic hypertension. Lancet. 1997;350(9080):757-764.PubMedGoogle ScholarCrossref. Imechukuliwa 09.06.2020
-
Hsu CC, Sandford BA. The Delphi technique: making sense of consensus. Pract Assess Res Eval. 2007;12(10). http://pareonline.net/pdf/v12n10.pdf. Accessed October 28, 2013.Google Scholar. Imechukuliwa 09.06.2020
-
Institute of Medicine. Finding What Works in Health Care: Standards for Systematic Reviews. Washington, DC: National Academies Press; 2011. http://www.iom.edu/Reports/2011/Finding-What-Works-in-Health-Care-Standards-for-systematic-Reviews.aspx. Imechukuliwa 09.06.2020
-
https://www.uptodate.com/contents/high-blood-pressure-in-adults-beyond-the-basics?topicRef=4415&source=see_link. Imechukuliwa 10.06.2020
-
https://www.uptodate.com/contents/high-blood-pressure-diet-and-weight-beyond-the-basics.Imechukuliwa 10.06.2020
-
Hypertension. https://jamanetwork.com/journals/jama/fullarticle/1791497. Imechukuliwa 11.06.2020
-
Dash Diet- 365 Days of Low Salt, Dash Diet Recipes For Lower Cholesterol, Lower Blood Pressure and Fat Loss Without Medication ( PDFDrive.com )