top of page

Ushauri na Dawa Mtandaoni mara moja kwa kila utakapotafuta huduma 

​

Kujaza fomu na kuanza kutumia huduma hii tafadhali bofya hapa utaona fomu soma maelekezo yote kabla ya kujaza na kutuma.

​

Muhimu kufahamu

​

ULY CLINIC inakukumbusha siku zote upate ushauri kutoka kwa daktari mwenye weledi na tatizo lako na aliyesajiliwa na baraza la madaktari la Medical Council of Tanganyika-MCT (kwa Tanzania ) na mwenye leseni ya kufanya kazi na si vinginevyo

 

Ili kutambua kwa jina na picha kama daktari anayekuhudumia amesajiliwa bofya hapa (kumbuka utahitaji kuwa na jina lake kamili ili kumwangalia kama yupo kwenye orodha ya madaktari wanaoruhusiwa kutibu)

​

Ili kupata tiba kwa utaratibu wa kawaida bofya hapa

​

@ULY CLINIC, 21.06.2021

bottom of page