top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Dkt. Benjamin S, MD

Dkt. Lugonda, MD

3 Novemba 2021 12:47:41

Kondom ya kike au ya kiume

ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia namba za simu au kwa kubonyeza 'Pata tiba' chini ya tovuti hii

Imeboreshwa,

Tarehe mwezi na mwaka na saa

ULY clinic inakushauri siku zote ufuate ushauri wa daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma makala hii.

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia mawasiliano yetu.

Rejea za mada;

Kondomu ya kike imetengenezwa kwa plastic aina aina ya polyurethane, huweza kukinga dhidi ya magonjwa ya zinaa kama pamoja na VVU. Kondomu hii huvalishwa ndani ya uke na kufikia mlango wa kizazi. Kondomu ya kike inaweza kuvaliwa masaa nane kabla ya tendo la kujamiana.


Kondomu za kiume huwa nzuri zaidi na hukinga dhidi ya magonjwa ya zinaa na mimba kuliko kondomu za kike, kama wewe na mpenzi wako hamna mahusiano ya muda mrefu na mahusiano yenu ni zaidi ya mtu mmoa kondomu za kike sio nzuri kutumiwa pekee

Endapo mwanaume ana allergy na kondomu anatakiwa kutafuta njia nyingine ya uzazi wa pango, na kama unataka kutumia mafuta kulainisha kondomu basi unaweza kutumia mafuta ya KY.

bottom of page